Yohana 15:3 - Swahili Revised Union Version3 Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililonena nanyi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililonena nanyi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia. Tazama sura |