Tazama, sisi hapa tu watumwa leo, na katika nchi hii uliyowapa baba zetu, wapate kula matunda yake na mema yake, tazama, sisi hapa tu watumwa ndani yake.
Maombolezo 5:4 - Swahili Revised Union Version Tumekunywa maji yetu kwa fedha; Kuni zetu twauziwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maji yetu tunayapata kwa fedha, kuni zetu kwa kuzinunua. Biblia Habari Njema - BHND Maji yetu tunayapata kwa fedha, kuni zetu kwa kuzinunua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maji yetu tunayapata kwa fedha, kuni zetu kwa kuzinunua. Neno: Bibilia Takatifu Ni lazima tununue maji tunayokunywa, kuni zetu zapatikana tu kwa kununua. Neno: Maandiko Matakatifu Ni lazima tununue maji tunayokunywa, kuni zetu zapatikana tu kwa kununua. BIBLIA KISWAHILI Tumekunywa maji yetu kwa fedha; Kuni zetu twauziwa. |
Tazama, sisi hapa tu watumwa leo, na katika nchi hii uliyowapa baba zetu, wapate kula matunda yake na mema yake, tazama, sisi hapa tu watumwa ndani yake.
Kwa maana, tazama, Bwana, BWANA wa majeshi, awaondolea Yerusalemu na Yuda egemeo na tegemeo; tegemeo lote la chakula na tegemeo lote la maji;
Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle; Naam, njoni, nunueni divai na maziwa, Bila fedha na bila gharama.
kwa hiyo utawatumikia adui zako atakaowaleta BWANA juu yako, kwa njaa, na kwa kiu, na kwa uchi, na kwa uhitaji wa vitu vyote; naye atakuvika kongwa la chuma shingoni mwako, hata atakapokwisha kukuangamiza.