Na watoto wao wachanga watavunjwavunjwa mbele ya macho yao, nyumba zao zitatekwa nyara, na wake zao watanajisiwa.
Maombolezo 5:11 - Swahili Revised Union Version Wanawake katika Sayuni wanashikwa kwa nguvu; Na mabikira katika miji ya Yuda. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanawake wetu wanashikwa kwa nguvu mjini Siyoni, binti zetu katika vijiji vya Yuda. Biblia Habari Njema - BHND Wanawake wetu wanashikwa kwa nguvu mjini Siyoni, binti zetu katika vijiji vya Yuda. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanawake wetu wanashikwa kwa nguvu mjini Siyoni, binti zetu katika vijiji vya Yuda. Neno: Bibilia Takatifu Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda. Neno: Maandiko Matakatifu Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda. BIBLIA KISWAHILI Wanawake katika Sayuni wanashikwa kwa nguvu; Na mabikira katika miji ya Yuda. |
Na watoto wao wachanga watavunjwavunjwa mbele ya macho yao, nyumba zao zitatekwa nyara, na wake zao watanajisiwa.
Kwa maana nitawakusanya mataifa yote walete vita juu ya Yerusalemu; na huo mji utapigwa, nazo nyumba zitatekwa, nao wanawake watatendwa jeuri; na nusu ya watu wa mji watatoka kwenda utumwani; ila mabaki ya watu wa mji hawatakatiliwa mbali.
Utaposa mke na mume mwingine atalala naye; utajenga nyumba usiikae; utapanda mizabibu usitumie matunda yake.