Maana adui ameifuatia nafsi yangu, Ameutupa chini uzima wangu. Amenikalisha mahali penye giza, Kama watu waliokufa zamani.
Maombolezo 3:6 - Swahili Revised Union Version Amenikalisha penye giza, Kama watu waliokufa zamani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Amenikalisha gizani kama watu waliokufa zamani. Biblia Habari Njema - BHND Amenikalisha gizani kama watu waliokufa zamani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Amenikalisha gizani kama watu waliokufa zamani. Neno: Bibilia Takatifu Amenifanya niishi gizani kama wale waliokufa. Neno: Maandiko Matakatifu Amenifanya niishi gizani kama wale waliokufa. BIBLIA KISWAHILI Amenikalisha penye giza, Kama watu waliokufa zamani. |
Maana adui ameifuatia nafsi yangu, Ameutupa chini uzima wangu. Amenikalisha mahali penye giza, Kama watu waliokufa zamani.
Ee BWANA, unijibu hima, roho yangu imelegea; Usinifiche uso wako, Nisifanane nao washukao shimoni.
Twapapasapapasa kutafuta ukuta kama kipofu, naam, twapapasa kama watu wasio na macho; twajikwaa wakati wa adhuhuri, kana kwamba ni wakati wa ukungu wa alfajiri; kati yao walionenepa tumekuwa kama wafu.