Maombolezo 3:27 - Swahili Revised Union Version Ni vema mwanadamu aichukue nira Wakati wa ujana wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ni vema mtu kujifunza uvumilivu tangu wakati wa ujana wake. Biblia Habari Njema - BHND Ni vema mtu kujifunza uvumilivu tangu wakati wa ujana wake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ni vema mtu kujifunza uvumilivu tangu wakati wa ujana wake. Neno: Bibilia Takatifu Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana. Neno: Maandiko Matakatifu Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana. BIBLIA KISWAHILI Ni vema mwanadamu aichukue nira Wakati wa ujana wake. |
Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.