Maana huko waliotuchukua mateka Walitaka tuwaimbie; Na waliotuonea walitaka tuwatumbuize; Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni.
Maombolezo 3:14 - Swahili Revised Union Version Nimekuwa dhihaka kwa watu wangu wote; Wimbo wao mchana kutwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nimekuwa kitu cha dhihaka kwa watu wote, mchana kutwa nimekuwa mtu wa kuzomewa. Biblia Habari Njema - BHND Nimekuwa kitu cha dhihaka kwa watu wote, mchana kutwa nimekuwa mtu wa kuzomewa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nimekuwa kitu cha dhihaka kwa watu wote, mchana kutwa nimekuwa mtu wa kuzomewa. Neno: Bibilia Takatifu Nimekuwa kichekesho kwa watu wangu wote, wananidhihaki kwa wimbo mchana kutwa. Neno: Maandiko Matakatifu Nimekuwa kichekesho kwa watu wangu wote, wananidhihaki kwa wimbo mchana kutwa. BIBLIA KISWAHILI Nimekuwa dhihaka kwa watu wangu wote; Wimbo wao mchana kutwa. |
Maana huko waliotuchukua mateka Walitaka tuwaimbie; Na waliotuonea walitaka tuwatumbuize; Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni.
Ee BWANA, umenihadaa, nami nimehadaika; wewe una nguvu kuliko mimi, ukashinda; nimekuwa kitu cha kuchekesha, mchana kutwa; kila mtu hunidhihaki.