Kwa kuwa mishale ya huyo Mwenyezi iko ndani yangu, Na roho yangu inainywa sumu yake; Vitisho vya Mungu vimejipanga juu yangu.
Maombolezo 3:12 - Swahili Revised Union Version Ameupinda upinde wake, Na kunifanya niwe shabaha kwa mshale. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliuvuta upinde wake, akanilenga mshale wake. Biblia Habari Njema - BHND Aliuvuta upinde wake, akanilenga mshale wake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliuvuta upinde wake, akanilenga mshale wake. Neno: Bibilia Takatifu Amevuta upinde wake na kunifanya mimi niwe lengo kwa ajili ya mishale yake. Neno: Maandiko Matakatifu Amevuta upinde wake na kunifanya mimi niwe lengo kwa ajili ya mishale yake. BIBLIA KISWAHILI Ameupinda upinde wake, Na kunifanya niwe shabaha kwa mshale. |
Kwa kuwa mishale ya huyo Mwenyezi iko ndani yangu, Na roho yangu inainywa sumu yake; Vitisho vya Mungu vimejipanga juu yangu.
Ikiwa nimefanya dhambi, nikufanyieje, Ee mlinda wanadamu? Mbona umeniweka niwe shabaha yako, Hata nimekuwa mzigo kwa nafsi yangu?
Ameupinda upinde wake kama adui, Amesimama na mkono wake wa kulia kama mtesi; Naye amewaua hao wote Waliopendeza macho; Katika hema ya binti Sayuni Amemimina ghadhabu yake kama moto.