Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Luka 9:9 - Swahili Revised Union Version

Lakini Herode akasema, Yohana nilimkata kichwa; basi ni nani huyu ambaye ninasikia mambo haya juu yake? Akataka kumwona.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Lakini Herode akasema, “Huyo Yohane nilimkata kichwa; sasa ni nani huyu ninayesikia habari zake?” Akawa na hamu ya kumwona.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Lakini Herode akasema, “Huyo Yohane nilimkata kichwa; sasa ni nani huyu ninayesikia habari zake?” Akawa na hamu ya kumwona.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Lakini Herode akasema, “Huyo Yohane nilimkata kichwa; sasa ni nani huyu ninayesikia habari zake?” Akawa na hamu ya kumwona.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Herode akasema, “Yahya nilimkata kichwa. Lakini ni nani huyu ninayesikia mambo kama haya kumhusu?” Akatamani sana kumwona.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Herode akasema, “Yahya nilimkata kichwa. Lakini ni nani huyu ambaye ninasikia mambo kama haya kumhusu?” Akatamani sana kumwona.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Lakini Herode akasema, Yohana nilimkata kichwa; basi ni nani huyu ambaye ninasikia mambo haya juu yake? Akataka kumwona.

Tazama sura
Tafsiri zingine

Luka 9:9
3 Marejeleo ya Msalaba  

wala hata Herode, kwa maana amemrudisha kwetu; basi tazama, hakuna neno lolote alilolitenda lipasalo kufa.

Herode alipomwona Yesu alifurahi sana, kwa sababu alikuwa akitaka sana kumwona tangu siku nyingi, maana amesikia habari zake, akatarajia kuona ishara iliyofanywa na yeye.