Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 9:8 - Swahili Revised Union Version

8 na wengine ya kwamba Eliya ametokea, na wengine ya kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amefufuka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Wengine walisema kwamba Elia ametokea, na wengine walisema kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amerudi duniani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Wengine walisema kwamba Elia ametokea, na wengine walisema kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amerudi duniani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Wengine walisema kwamba Elia ametokea, na wengine walisema kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amerudi duniani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Wengine wakasema Ilya amewatokea, na wengine kwamba mmoja wa manabii wa kale amefufuka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Wengine wakasema Ilya amewatokea, na wengine wakasema kwamba mmoja wa manabii wa kale amefufuka.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 na wengine ya kwamba Eliya ametokea, na wengine ya kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amefufuka.

Tazama sura Nakili

Luka 9:8
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.

Wanafunzi wake wakamwuliza, wakisema, Basi kwa nini waandishi hunena ya kwamba imempasa Eliya kuja kwanza?

Wengine walisema, Ni Eliya. Wengine walisema, Huyu ni nabii, au ni kama mmoja wa manabii.

Wakamjibu, Yohana Mbatizaji; wengine, Eliya; wengine, Mmojawapo wa manabii.

Wakamjibu wakisema, Yohana Mbatizaji; lakini wengine, Eliya; na wengine kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amefufuka.

Wakamwuliza, Ni nini basi? U Eliya wewe? Akasema, Mimi siye. Wewe u nabii yule? Akajibu, La.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo