Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 9:10 - Swahili Revised Union Version

10 Basi wale mitume waliporudi walimweleza mambo yote waliyoyatenda; akawachukua, akaenda nao faraghani mpaka mji mmoja uitwao Bethsaida.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Wale mitume waliporudi, walimweleza Yesu yote waliyoyafanya. Yesu akawachukua, wakaenda peke yao mjini Bethsaida.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Wale mitume waliporudi, walimweleza Yesu yote waliyoyafanya. Yesu akawachukua, wakaenda peke yao mjini Bethsaida.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Wale mitume waliporudi, walimweleza Yesu yote waliyoyafanya. Yesu akawachukua, wakaenda peke yao mjini Bethsaida.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Mitume wake waliporudi, wakamweleza Isa yote waliyofanya. Kisha akaenda nao faraghani hadi mji uitwao Bethsaida.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Mitume wake waliporudi, wakamweleza Isa yote waliyofanya. Akawachukua, akaenda nao faraghani mpaka mji uitwao Bethsaida.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Basi wale mitume waliporudi walimweleza mambo yote waliyoyatenda; akawachukua, akaenda nao faraghani mpaka mji mmoja uitwao Bethsaida.

Tazama sura Nakili

Luka 9:10
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na yule mtu aliyesimama kati ya mihadasi akajibu, akasema, Hawa ndio BWANA aliowatuma, waende huku na huko duniani.

Ole wako, Korazini! Ole wako, Bethsaida! Kwa kuwa kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika katika Tiro na Sidoni, wangalitubu zamani kwa kuvaa magunia na majivu.

Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?

Ndipo wale sabini waliporudi kwa furaha, wakisema, Bwana, hata pepo wanatutii kwa jina lako.

Naye Filipo alikuwa mtu wa Bethsaida, mwenyeji wa mji wa Andrea na Petro.

Watiini viongozi wenu, na kuwanyenyekea; maana wao wanakesha kwa ajili ya roho zenu, kama watu watakaotoa hesabu, ili kwamba wafanye hivyo kwa furaha wala si kwa huzuni; maana haitawafaa ninyi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo