Ndipo alipowakataza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote ya kwamba yeye ndiye Kristo.
Luka 9:21 - Swahili Revised Union Version Akawaonya, akawakataza wasimwambie mtu neno hilo; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Halafu Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hiyo. Biblia Habari Njema - BHND Halafu Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hiyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Halafu Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hiyo. Neno: Bibilia Takatifu Isa akawakataza wasimwambie mtu yeyote jambo hilo. Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawakataza wasimwambie mtu yeyote jambo hilo. BIBLIA KISWAHILI Akawaonya, akawakataza wasimwambie mtu neno hilo; |
Ndipo alipowakataza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote ya kwamba yeye ndiye Kristo.
Na walipokuwa wakishuka mlimani, Yesu aliwaagiza, akasema, Msimwambie mtu yeyote habari ya maono hayo, hadi Mwana wa Adamu atakapofufuka katika wafu.
Yesu akamwambia, Angalia, usimwambie mtu; ila nenda zako, ukajioneshe kwa kuhani, ukaitoe sadaka kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwao.
Macho yao yakafumbuka. Naye Yesu akawaagiza kwa nguvu, akisema, Angalieni hata mtu mmoja asijue.