Luka 6:5 - Swahili Revised Union Version Akawaambia, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hivyo akawaambia, “Mwana wa Mtu ana uwezo juu ya Sabato.” Biblia Habari Njema - BHND Hivyo akawaambia, “Mwana wa Mtu ana uwezo juu ya Sabato.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hivyo akawaambia, “Mwana wa Mtu ana uwezo juu ya Sabato.” Neno: Bibilia Takatifu Kisha Isa akawaambia, “Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawaambia, “Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” BIBLIA KISWAHILI Akawaambia, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato. |
Kisha likatokea wingu, likawatia uvuli; sauti ikatoka katika lile wingu, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, msikieni yeye.
Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaitwaa mikate ile ya wonyesho, akaila akawapa na hao wenziwe, ambayo si halali kuila ila kwa makuhani peke yao.
Ikawa siku ya sabato nyingine aliingia katika sinagogi akafundisha; na mlikuwamo mtu ambaye mkono wake wa kulia umepooza.
Nilikuwa katika Roho, siku ya Bwana; nikasikia sauti kuu nyuma yangu, kama sauti ya baragumu,