Marko 9:7 - Swahili Revised Union Version7 Kisha likatokea wingu, likawatia uvuli; sauti ikatoka katika lile wingu, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, msikieni yeye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kisha likatokea wingu likawafunika, na sauti ikasikika kutoka katika hilo wingu, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, msikilizeni.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kisha likatokea wingu likawafunika, na sauti ikasikika kutoka katika hilo wingu, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, msikilizeni.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kisha likatokea wingu likawafunika, na sauti ikasikika kutoka katika hilo wingu, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, msikilizeni.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Ndipo pakatokea wingu, likawafunika, nayo sauti kutoka lile wingu ikasema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa. Msikieni yeye.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Ndipo pakatokea wingu, likawafunika, nayo sauti kutoka lile wingu ikasema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa. Msikieni yeye.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Kisha likatokea wingu, likawatia uvuli; sauti ikatoka katika lile wingu ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, msikieni yeye. Tazama sura |