Luka 6:31 - Swahili Revised Union Version Na kama mnavyotaka watu wawatendee ninyi, watendeeni vivyo hivyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jinsi mnavyotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Biblia Habari Njema - BHND Jinsi mnavyotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jinsi mnavyotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Neno: Bibilia Takatifu Watendeeni wengine kama ambavyo mngetaka wawatendee ninyi. Neno: Maandiko Matakatifu Watendeeni wengine kama ambavyo mngetaka wawatendee ninyi. BIBLIA KISWAHILI Na kama mnavyotaka watu wawatendee ninyi, watendeeni vivyo hivyo. |
Basi yoyote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo Torati na Manabii.
Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.