Luka 4:17 - Swahili Revised Union Version Akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua kitabu, akapata mahali palipoandikwa, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Akapokea kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na akakuta mahali palipoandikwa: Biblia Habari Njema - BHND Akapokea kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na akakuta mahali palipoandikwa: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Akapokea kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na akakuta mahali palipoandikwa: Neno: Bibilia Takatifu naye akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na kukuta mahali palipoandikwa: Neno: Maandiko Matakatifu naye akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na kukuta mahali palipoandikwa: BIBLIA KISWAHILI Akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua kitabu, akapata mahali palipoandikwa, |
Maana, Daudi mwenyewe asema katika kitabu cha Zaburi, Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kulia,
Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.
Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiria maskini Habari Njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa,
Akakifunga kitabu, akamrudishia mtumishi, akaketi; na watu wote waliokuwamo katika sinagogi wakamkazia macho.
Kisha, baada ya Torati na kitabu cha Manabii kusomwa, wakuu wa sinagogi wakatuma mtu kwao, na kuwaambia, Ndugu, kama mkiwa na neno la kuwafaa watu hawa, lisemeni.
Kwa maana wakaao Yerusalemu, na wakuu wao, kwa kuwa hawakumjua yeye, wala maneno ya manabii yanayosomwa kila sabato, wameyatimiza kwa kumhukumu.
Basi Mungu akaghairi, akawaacha ili waliabudu jeshi la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii, Je! Mlinitolea mimi dhabihu na sadaka Miaka arubaini katika jangwa, enyi nyumba ya Israeli?