Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 20:42 - Swahili Revised Union Version

42 Maana, Daudi mwenyewe asema katika kitabu cha Zaburi, Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kulia,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: “ ‘bwana Mwenyezi alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

42 Maana, Daudi mwenyewe asema katika kitabu cha Zaburi, Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kulia,

Tazama sura Nakili

Luka 20:42
12 Marejeleo ya Msalaba  

Neno la BWANA kwa Bwana wangu, Uketi upande wangu wa kulia, Hadi niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.

Hadi niwaweke adui zako Kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.

Kisha akawaambia, Hayo ndiyo maneno yangu niliyowaambia nilipokuwa ningali pamoja nanyi, ya kwamba ni lazima yatimizwe yote niliyoandikiwa katika Torati ya Musa, na katika vitabu vya Manabii na Zaburi.

Kwa maana imeandikwa katika kitabu cha Zaburi, Kikao chake na kiwe ukiwa, Wala asiwepo mtu mwenye kukaa humo; tena, Usimamizi wake autwae mwingine.

Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke adui zake wote chini ya miguu yake.

Je! Yuko malaika aliyemwambia wakati wowote, Uketi mkono wa kulia Hata nitakapoweka adui zako chini ya nyayo zako?

Kwa hiyo, kama anenavyo Roho Mtakatifu, Leo, kama mkisikia sauti yake,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo