Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 20:43 - Swahili Revised Union Version

43 Hadi niwaweke adui zako Kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 mpaka niwaweke maadui zako kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 mpaka niwaweke maadui zako kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 mpaka niwaweke maadui zako kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.”’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

43 Hadi niwaweke adui zako Kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.

Tazama sura Nakili

Luka 20:43
9 Marejeleo ya Msalaba  

Neno la BWANA kwa Bwana wangu, Uketi upande wangu wa kulia, Hadi niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.

Wakaao jangwani na wainame mbele zake; Adui zake na warambe mavumbi.

Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa muwachinje mbele yangu.

Basi Daudi amwita Bwana; amekuwaje mwana wake?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo