Luka 3:34 - Swahili Revised Union Version wa Yakobo, wa Isaka, wa Abrahamu, wa Tera, wa Nahori, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema aliyekuwa mwana wa Yakobo, mwana wa Isaka, mwana wa Abrahamu, mwana wa Tera, mwana wa Nahori, Biblia Habari Njema - BHND aliyekuwa mwana wa Yakobo, mwana wa Isaka, mwana wa Abrahamu, mwana wa Tera, mwana wa Nahori, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza aliyekuwa mwana wa Yakobo, mwana wa Isaka, mwana wa Abrahamu, mwana wa Tera, mwana wa Nahori, Neno: Bibilia Takatifu Yuda alikuwa mwana wa Yakobo, Yakobo alikuwa mwana wa Isaka, Isaka alikuwa mwana wa Ibrahimu, Ibrahimu alikuwa mwana wa Tera, Tera alikuwa mwana wa Nahori, Neno: Maandiko Matakatifu Yuda alikuwa mwana wa Yakobo, Yakobo alikuwa mwana wa Isaka, Isaka alikuwa mwana wa Ibrahimu, Ibrahimu alikuwa mwana wa Tera, Tera alikuwa mwana wa Nahori, BIBLIA KISWAHILI wa Yakobo, wa Isaka, wa Abrahamu, wa Tera, wa Nahori, |
Baadaye ndugu yake akatoka, na mkono wake ukiwa umemshika Esau kisigino. Akaitwa jina lake Yakobo. Isaka alikuwa mwenye miaka sitini mkewe alipowazaa.
Akampa agano la tohara; basi Abrahamu akamzaa Isaka, akamtahiri siku ya nane. Isaka akamzaa Yakobo. Yakobo akawazaa wale kumi na wawili, wazee wetu.
Yoshua akawaambia watu wote, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Baba zenu hapo zamani walikaa ng'ambo ya Mto, maana Tera, baba yake Abrahamu na Nahori; waliitumikia miungu mingine.