Mwanzo 21:3 - Swahili Revised Union Version3 Abrahamu akamwita jina lake Isaka, yule mwana aliyezaliwa, ambaye Sara alimzalia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Abrahamu akampa huyo mwanawe ambaye Sara alimzalia jina Isaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Abrahamu akampa huyo mwanawe ambaye Sara alimzalia jina Isaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Abrahamu akampa huyo mwanawe ambaye Sara alimzalia jina Isaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ibrahimu akampa huyo mwana ambaye Sara alimzalia jina Isaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ibrahimu akamwita Isaka yule mwana ambaye Sara alimzalia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Abrahamu akamwita jina lake Isaka, yule mwana aliyezaliwa, ambaye Sara alimzalia. Tazama sura |