Mwanzo 21:4 - Swahili Revised Union Version4 Abrahamu akamtahiri Isaka mwanawe, alipokuwa mwenye siku nane, kama Mungu alivyomwamuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Isaka alipotimiza umri wa siku nane, Abrahamu akamtahiri kama alivyoamriwa na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Isaka alipotimiza umri wa siku nane, Abrahamu akamtahiri kama alivyoamriwa na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Isaka alipotimiza umri wa siku nane, Abrahamu akamtahiri kama alivyoamriwa na Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Isaka alipokuwa na umri wa siku nane, Ibrahimu akamtahiri, kama Mungu alivyomwamuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Isaka alipokuwa na umri wa siku nane, Ibrahimu akamtahiri, kama Mungu alivyomwamuru. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Abrahamu akamtahiri Isaka mwanawe, alipokuwa mwenye siku nane, kama Mungu alivyomwamuru. Tazama sura |