Luka 3:13 - Swahili Revised Union Version Akawaambia, Msitoze kitu zaidi kuliko mlivyoamriwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye akawaambia, “Msitoze ushuru zaidi ya kima kilichowekwa.” Biblia Habari Njema - BHND Naye akawaambia, “Msitoze ushuru zaidi ya kima kilichowekwa.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye akawaambia, “Msitoze ushuru zaidi ya kima kilichowekwa.” Neno: Bibilia Takatifu Akawaambia, “Msichukue zaidi ya kiwango mlichopangiwa.” Neno: Maandiko Matakatifu Akawaambia, “Msichukue zaidi ya kiwango mlichopangiwa.” BIBLIA KISWAHILI Akawaambia, Msitoze kitu zaidi kuliko mlivyoamriwa. |
Ee mwanadamu, yeye amekuonesha yaliyo mema; na BWANA anataka nini kwako, ila kutenda haki, na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako!
Basi yoyote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo Torati na Manabii.
Zakayo akasimama, akamwambia Bwana, Tazama, Bwana, nusu ya mali yangu nawapa maskini, na ikiwa nimenyang'anya mtu kitu kwa hila namrudishia mara nne.
Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtosheke na mishahara yenu.
Mwizi asiibe tena; bali afadhali afanye juhudi, akifanya kazi iliyo nzuri kwa mikono yake mwenyewe, apate kuwa na kitu cha kumgawia mhitaji.
Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa subira katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,