Lakini nendeni zenu, mkawaambie wanafunzi wake, na Petro, ya kwamba awatangulia kwenda Galilaya; huko mtamwona, kama alivyowaambia.
Luka 24:34 - Swahili Revised Union Version wakisema, Bwana amefufuka kweli kweli, naye amemtokea Simoni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakisema, “Hakika Bwana amefufuka, amemtokea Simoni.” Biblia Habari Njema - BHND wakisema, “Hakika Bwana amefufuka, amemtokea Simoni.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakisema, “Hakika Bwana amefufuka, amemtokea Simoni.” Neno: Bibilia Takatifu wakasema, “Ni kweli! Bwana Isa amefufuka, naye amemtokea Simoni.” Neno: Maandiko Matakatifu wakisema, “Ni kweli! Bwana Isa amefufuka, naye amemtokea Simoni.” BIBLIA KISWAHILI wakisema, Bwana amefufuka kweli kweli, naye amemtokea Simoni. |
Lakini nendeni zenu, mkawaambie wanafunzi wake, na Petro, ya kwamba awatangulia kwenda Galilaya; huko mtamwona, kama alivyowaambia.
Ndipo Yohana alipowaita wawili katika wanafunzi wake, akawatuma kwa Yesu akiuliza, Wewe ndiwe yule ajaye, au tumtazamie mwingine?
wale aliojidhihirisha kwao kuwa yu hai, kwa dalili nyingi, baada ya kuteswa kwake, akiwatokea muda wa siku arubaini, na kuyanena mambo yaliyouhusu ufalme wa Mungu.