Na watu wa mahali pale walipomtambua, walituma watu kwenda nchi zile zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa wagonjwa;
Luka 24:31 - Swahili Revised Union Version Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua; kisha akatoweka mbele yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mara macho yao yakafumbuliwa, wakamtambua; lakini yeye akatoweka kati yao. Biblia Habari Njema - BHND Mara macho yao yakafumbuliwa, wakamtambua; lakini yeye akatoweka kati yao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mara macho yao yakafumbuliwa, wakamtambua; lakini yeye akatoweka kati yao. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo macho yao yakafumbuliwa, nao wakamtambua, naye akatoweka machoni pao. Hawakumwona tena. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo macho yao yakafumbuliwa, nao wakamtambua, naye akatoweka machoni pao. Hawakumwona tena. BIBLIA KISWAHILI Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua; kisha akatoweka mbele yao. |
Na watu wa mahali pale walipomtambua, walituma watu kwenda nchi zile zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa wagonjwa;