Luka 24:31 - Swahili Revised Union Version31 Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua; kisha akatoweka mbele yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Mara macho yao yakafumbuliwa, wakamtambua; lakini yeye akatoweka kati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Mara macho yao yakafumbuliwa, wakamtambua; lakini yeye akatoweka kati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Mara macho yao yakafumbuliwa, wakamtambua; lakini yeye akatoweka kati yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Ndipo macho yao yakafumbuliwa, nao wakamtambua, naye akatoweka machoni pao. Hawakumwona tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Ndipo macho yao yakafumbuliwa, nao wakamtambua, naye akatoweka machoni pao. Hawakumwona tena. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua; kisha akatoweka mbele yao. Tazama sura |