Na tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la ardhi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia.
Luka 24:2 - Swahili Revised Union Version Wakalikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi. Biblia Habari Njema - BHND Walikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi. Neno: Bibilia Takatifu Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka mdomo wa kaburi, Neno: Maandiko Matakatifu Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka kwenye kaburi, BIBLIA KISWAHILI Wakalikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi, |
Na tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la ardhi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia.
Siku ya kwanza ya juma, ilipoanza kupambazuka, walikwenda kaburini, wakiyaleta manukato waliyoweka tayari.
Basi Yesu, akiwa na huzuni tena moyoni mwake, akafika kwenye kaburi. Nalo lilikuwa ni pango, na jiwe limewekwa juu yake.
Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.