Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 24:1 - Swahili Revised Union Version

1 Siku ya kwanza ya juma, ilipoanza kupambazuka, walikwenda kaburini, wakiyaleta manukato waliyoweka tayari.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato waliyotayarisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato waliyotayarisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato waliyotayarisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Siku ya kwanza ya juma, alfajiri na mapema, wale wanawake walichukua yale manukato waliyokuwa wameyaandaa, wakaenda kaburini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Mnamo siku ya kwanza ya juma, alfajiri na mapema, wale wanawake walichukua yale manukato waliyokuwa wameyaandaa, wakaenda kaburini.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Siku ya kwanza ya juma, ilipoanza kupambazuka, walikwenda kaburini, wakiyaleta manukato waliyoweka tayari.

Tazama sura Nakili

Luka 24:1
10 Marejeleo ya Msalaba  

Palikuwako na wanawake wakitazama kwa mbali; miongoni mwao alikuwemo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo mdogo na Yose, na Salome;

Nao ni Mariamu Magdalene, na Yoana, na Mariamu mamaye Yakobo, na wale wanawake wengine waliokuwa pamoja nao;

Wakalikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi,

tena, wanawake kadhaa wa kwetu walitushitusha, waliokwenda kaburini asubuhi na mapema,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo