Luka 24:15 - Swahili Revised Union Version Ikawa katika kuzungumza na kuulizana kwao, Yesu mwenyewe alikaribia, akaandamana nao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Biblia Habari Njema - BHND Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Neno: Bibilia Takatifu Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Isa mwenyewe akaja akatembea pamoja nao, Neno: Maandiko Matakatifu Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Isa mwenyewe akaja akatembea pamoja nao, BIBLIA KISWAHILI Ikawa katika kuzungumza na kuulizana kwao, Yesu mwenyewe alikaribia, akaandamana nao. |
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
Na walipokuwa katika kusema habari hiyo, yeye mwenyewe alisimama katikati yao, akawaambia, Amani iwe kwenu.