Mathayo 18:20 - Swahili Revised Union Version20 Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kwa maana popote pale wanapokusanyika wawili au watatu kwa jina langu, mimi nipo hapo kati yao.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kwa maana popote pale wanapokusanyika wawili au watatu kwa jina langu, mimi nipo hapo kati yao.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kwa maana popote pale wanapokusanyika wawili au watatu kwa jina langu, mimi nipo hapo kati yao.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Kwa kuwa wanapokusanyika pamoja watu wawili au watatu kwa Jina langu, mimi niko papo hapo pamoja nao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Kwa kuwa wanapokusanyika pamoja watu wawili au watatu kwa Jina langu, mimi niko papo hapo pamoja nao.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao. Tazama sura |