Luka 22:51 - Swahili Revised Union Version Yesu akajibu akasema, Muwe radhi kwa hili. Akamgusa sikio, akamponya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo, Yesu akasema, “Acha! Hii inatosha.” Akaligusa sikio la mtu huyo, akaliponya. Biblia Habari Njema - BHND Hapo, Yesu akasema, “Acha! Hii inatosha.” Akaligusa sikio la mtu huyo, akaliponya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo, Yesu akasema, “Acha! Hii inatosha.” Akaligusa sikio la mtu huyo, akaliponya. Neno: Bibilia Takatifu Lakini Isa akasema, “Acheni!” Akaligusa lile sikio la yule mtu na kumponya. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini Isa akasema, “Acheni!” Akaligusa lile sikio la yule mtu na kumponya. BIBLIA KISWAHILI Yesu akajibu akasema, Muwe radhi kwa hili. Akamgusa sikio, akamponya. |
Yesu akawaambia wakuu wa makuhani, na maofisa wa hekalu, na wazee, waliokuja juu yake, Je! Mmekuja mkiwa na panga na marungu kama kukamata mnyang'anyi?
Nilipokuwapo pamoja nao, mimi niliwalinda kwa jina lako ulilonipa, nikawatunza; wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, ila yule mwana wa upotevu, ili andiko litimie.
Ila Paulo akapaza sauti yake kwa nguvu, akisema, Usijidhuru, kwa maana sisi sote tuko hapa.
Basi, mimi Paulo mwenyewe nawasihi kwa upole na utaratibu wa Kristo; mimi niliye mnyenyekevu nikiwapo pamoja nanyi, bali nisipokuwapo ni mwenye ujasiri kwenu;