Luka 22:23 - Swahili Revised Union Version Wakaanza kuulizana wao kwa wao, ni yupi miongoni mwao atakayelitenda jambo hilo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo. Biblia Habari Njema - BHND Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo. Neno: Bibilia Takatifu Wakaanza kuulizana wenyewe ni nani miongoni mwao angeweza kufanya jambo hilo. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaanza kuulizana wenyewe ni nani miongoni mwao angeweza kufanya jambo hilo. BIBLIA KISWAHILI Wakaanza kuulizana wao kwa wao, ni yupi miongoni mwao atakayelitenda jambo hilo. |
Kwa kuwa Mwana wa Adamu aenda zake kama ilivyokusudiwa; lakini, ole wake mtu yule amsalitiye!