Luka 22:21 - Swahili Revised Union Version Lakini, tazama, mkono wake yeye anayenisaliti upo hapa pamoja nami mezani, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani. Biblia Habari Njema - BHND “Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani. Neno: Bibilia Takatifu Lakini mkono wake huyo atakayenisaliti uko hapa mezani pamoja nami. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini mkono wake huyo atakayenisaliti uko hapa mezani pamoja nami. BIBLIA KISWAHILI Lakini, tazama, mkono wake yeye anayenisaliti upo hapa pamoja nami mezani, |
Hata rafiki yangu mwandani niliyemtumaini, Aliyekula pamoja nami, Ameniinulia kisigino chake.
Basi Yesu akajibu, Ndiye mtu yule nitakayemtowelea tonge na kumpa. Akatowelea tonge, akalitwaa akampa Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti.