Luka 22:13 - Swahili Revised Union Version Wakaenda, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa Pasaka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia; wakaandaa karamu ya Pasaka. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia; wakaandaa karamu ya Pasaka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia; wakaandaa karamu ya Pasaka. Neno: Bibilia Takatifu Wakaenda, nao wakakuta kila kitu kama Isa alivyowaambia. Hivyo wakaiandaa Pasaka. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaenda, nao wakakuta kila kitu kama Isa alivyowaambia. Hivyo wakaiandaa Pasaka. BIBLIA KISWAHILI Wakaenda, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa Pasaka. |
Kwa imani Abrahamu alipoitwa aliitika, atoke aende mahali pale atakapopapata kuwa urithi; akatoka asijue aendako.