Luka 22:13 - Swahili Revised Union Version13 Wakaenda, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa Pasaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia; wakaandaa karamu ya Pasaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia; wakaandaa karamu ya Pasaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia; wakaandaa karamu ya Pasaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Wakaenda, nao wakakuta kila kitu kama Isa alivyowaambia. Hivyo wakaiandaa Pasaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Wakaenda, nao wakakuta kila kitu kama Isa alivyowaambia. Hivyo wakaiandaa Pasaka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Wakaenda, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa Pasaka. Tazama sura |