Na mtamwambia mwenye nyumba, Mwalimu akuambia, Kiko wapi chumba cha wageni, nipate kula Pasaka humo pamoja na wanafunzi wangu?
Luka 22:12 - Swahili Revised Union Version Naye atawaonesha chumba kikubwa ghorofani, kimekwisha tayarishwa; andaeni humo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye atawaonesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo.” Biblia Habari Njema - BHND Naye atawaonesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye atawaonesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo.” Neno: Bibilia Takatifu Atawaonesha chumba kikubwa ghorofani, kikiwa kimepambwa vizuri. Andaeni humo.” Neno: Maandiko Matakatifu Atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani, kikiwa kimepambwa vizuri. Andaeni humo.” BIBLIA KISWAHILI Naye atawaonesha chumba kikubwa ghorofani, kimekwisha tayarishwa; andaeni humo. |
Na mtamwambia mwenye nyumba, Mwalimu akuambia, Kiko wapi chumba cha wageni, nipate kula Pasaka humo pamoja na wanafunzi wangu?
na kwa sababu hakuwa na haja ya mtu kushuhudia habari za mwanadamu; kwa maana yeye mwenyewe alijua yaliyomo ndani ya mwanadamu.
Akamwambia mara ya tatu, Simoni wa Yohana, wanipenda? Petro alihuzunika kwa vile alivyomwambia mara ya tatu, Wanipenda? Akamwambia, Bwana, wewe wajua yote; wewe umetambua ya kuwa nakupenda. Yesu akamwambia, Lisha kondoo wangu.
Wakati walipoingia, wakapanda ghorofani, walipokuwa wakikaa; Petro, na Yohana, na Yakobo, na Andrea, Filipo na Tomaso, Bartholomayo na Mathayo, Yakobo wa Alfayo, na Simoni Zelote, na Yuda wa Yakobo.