Matendo 20:8 - Swahili Revised Union Version8 Palikuwa na taa nyingi katika ghorofa lile tulipokuwa tumekusanyika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Katika chumba tulimokuwa, ghorofani, kulikuwa na taa nyingi zinawaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Katika chumba tulimokuwa, ghorofani, kulikuwa na taa nyingi zinawaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Katika chumba tulimokuwa, ghorofani, kulikuwa na taa nyingi zinawaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwenye chumba cha ghorofani walimokuwa wamekutania kulikuwa na taa nyingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwenye chumba cha ghorofani walimokuwa wamekutania kulikuwa na taa nyingi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Palikuwa na taa nyingi katika ghorofa lile tulipokuwa tumekusanyika. Tazama sura |