wakamwambia, wakisema, Tuambie, unatenda mambo hayo kwa mamlaka gani? Tena, ni nani aliyekupa mamlaka haya?
Luka 20:3 - Swahili Revised Union Version Akajibu akawaambia, Nami nitawauliza ninyi neno moja; niambieni, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawaambia, “Na mimi nitawaulizeni swali: Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawaambia, “Na mimi nitawaulizeni swali: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawaambia, “Na mimi nitawaulizeni swali: Neno: Bibilia Takatifu Akawajibu, “Nami nitawauliza swali. Nijibuni: Neno: Maandiko Matakatifu Akawajibu, “Nami nitawauliza swali. BIBLIA KISWAHILI Akajibu akawaambia, Nami nitawauliza ninyi neno moja; niambieni, |
wakamwambia, wakisema, Tuambie, unatenda mambo hayo kwa mamlaka gani? Tena, ni nani aliyekupa mamlaka haya?
Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolezwa chumvi, ili mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.