Luka 2:6 - Swahili Revised Union Version Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia, Biblia Habari Njema - BHND Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia, Neno: Bibilia Takatifu Wakiwa Bethlehemu, wakati wa Mariamu wa kujifungua ukawa umetimia, Neno: Maandiko Matakatifu Wakiwa Bethlehemu, wakati wa Mariamu wa kujifungua ukawa umetimia, BIBLIA KISWAHILI Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia, |
Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye asili yake imekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.