Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 2:5 - Swahili Revised Union Version

5 ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Alienda huko kujiandikisha pamoja na Mariamu, aliyekuwa amemposa, na alikuwa mjamzito.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Alikwenda huko kujiandikisha pamoja na Mariamu, ambaye alikuwa amemposa, naye alikuwa mjamzito.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.

Tazama sura Nakili

Luka 2:5
6 Marejeleo ya Msalaba  

Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu.

Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao.

Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Yudea mpaka katika mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa ukoo na jamaa ya Daudi;

Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo