Basi Efroni alikuwa akiketi kati ya wazawa wa Hethi. Efroni Mhiti akamjibu Abrahamu, na wazawa wa Hethi wanasikiliza, hata watu wote waingiao mlango wa mji wake, akisema,
Luka 2:3 - Swahili Revised Union Version Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake. Neno: Bibilia Takatifu Kila mtu alienda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa. Neno: Maandiko Matakatifu Kila mtu alikwenda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa. BIBLIA KISWAHILI Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao. |
Basi Efroni alikuwa akiketi kati ya wazawa wa Hethi. Efroni Mhiti akamjibu Abrahamu, na wazawa wa Hethi wanasikiliza, hata watu wote waingiao mlango wa mji wake, akisema,
Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu.
Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Yudea mpaka katika mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa ukoo na jamaa ya Daudi;