Luka 2:3 - Swahili Revised Union Version3 Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kila mtu alienda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kila mtu alikwenda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao. Tazama sura |