ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
Luka 18:6 - Swahili Revised Union Version Bwana akasema, Sikilizeni asemavyo yule hakimu dhalimu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Bwana akaendelea kusema, “Sikieni jinsi alivyosema huyo hakimu mbaya. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Bwana akaendelea kusema, “Sikieni jinsi alivyosema huyo hakimu mbaya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Bwana akaendelea kusema, “Sikieni jinsi alivyosema huyo hakimu mbaya. Neno: Bibilia Takatifu Bwana Isa akasema, “Sikilizeni asemavyo huyu hakimu dhalimu. Neno: Maandiko Matakatifu Bwana Isa akasema, “Sikilizeni asemavyo huyu hakimu dhalimu. BIBLIA KISWAHILI Bwana akasema, Sikilizeni asemavyo yule hakimu dhalimu. |
ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
Ndipo Yohana alipowaita wawili katika wanafunzi wake, akawatuma kwa Yesu akiuliza, Wewe ndiwe yule ajaye, au tumtazamie mwingine?