Kwa maana nitawakusanya mataifa yote walete vita juu ya Yerusalemu; na huo mji utapigwa, nazo nyumba zitatekwa, nao wanawake watatendwa jeuri; na nusu ya watu wa mji watatoka kwenda utumwani; ila mabaki ya watu wa mji hawatakatiliwa mbali.
Luka 17:37 - Swahili Revised Union Version Wakajibu, wakamwuliza, Wapi, Bwana? Akawaambia, Ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo wakamwuliza, “Ni wapi Bwana?” Naye akawaambia, “Palipo mzoga, ndipo tai watakapokusanyikia.” Biblia Habari Njema - BHND Hapo wakamwuliza, “Ni wapi Bwana?” Naye akawaambia, “Palipo mzoga, ndipo tai watakapokusanyikia.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo wakamwuliza, “Ni wapi Bwana?” Naye akawaambia, “Palipo mzoga, ndipo tai watakapokusanyikia.” Neno: Bibilia Takatifu Kisha wakamuuliza, “Haya yatatukia wapi Bwana Isa?” Akawaambia, “Pale ulipo mzoga, huko ndiko tai watakapokusanyika.” Neno: Maandiko Matakatifu Kisha wakamuuliza, “Haya yatatukia wapi, Bwana Isa?” Akawaambia, “Pale ulipo mzoga, huko ndiko tai watakapokusanyika.” BIBLIA KISWAHILI Wakajibu, wakamwuliza, Wapi, Bwana? Akawaambia, Ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai. |
Kwa maana nitawakusanya mataifa yote walete vita juu ya Yerusalemu; na huo mji utapigwa, nazo nyumba zitatekwa, nao wanawake watatendwa jeuri; na nusu ya watu wa mji watatoka kwenda utumwani; ila mabaki ya watu wa mji hawatakatiliwa mbali.
huku wakituzuia tusiseme na Mataifa wapate kuokolewa; ili watimize dhambi zao siku zote. Lakini hasira imewafikia hata mwisho.