Luka 17:36 - Swahili Revised Union Version Watu wawili watakuwa shambani, mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.] Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.] Biblia Habari Njema - BHND Watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.] Neno: Bibilia Takatifu Wanaume wawili watakuwa wanafanya kazi pamoja shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.]” Neno: Maandiko Matakatifu Wanaume wawili watakuwa wanafanya kazi pamoja shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.]” BIBLIA KISWAHILI Watu wawili watakuwa shambani, mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.] |
Wakajibu, wakamwuliza, Wapi, Bwana? Akawaambia, Ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai.