Mwingine akasema, Nimenunua ng'ombe jozi tano, ninakwenda kuwajaribu; tafadhali unisamehe.
Luka 14:20 - Swahili Revised Union Version Mwingine akasema, Nimeoa mke, na kwa sababu hiyo siwezi kuja. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na mwingine akasema: ‘Nimeoa kwa hiyo siwezi kuja.’ Biblia Habari Njema - BHND Na mwingine akasema: ‘Nimeoa kwa hiyo siwezi kuja.’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na mwingine akasema: ‘Nimeoa kwa hiyo siwezi kuja.’ Neno: Bibilia Takatifu “Naye mwingine akasema, ‘Nimeoa mke, kwa hiyo siwezi kuja.’ Neno: Maandiko Matakatifu Naye mwingine akasema, ‘Nimeoa mke, kwa hiyo siwezi kuja.’ BIBLIA KISWAHILI Mwingine akasema, Nimeoa mke, na kwa sababu hiyo siwezi kuja. |
Mwingine akasema, Nimenunua ng'ombe jozi tano, ninakwenda kuwajaribu; tafadhali unisamehe.
Yule mtumwa akaenda, akamwambia Bwana wake kuhusu mambo hayo. Basi, yule mwenye nyumba akakasirika, akamwambia mtumwa wake, Toka upesi, uende katika njia kuu na vichochoro vya mji, ukawalete hapa maskini, na vilema, na vipofu, na viwete.
Mtu atwaapo mke mpya, asiende vitani pamoja na jeshi, wala asipewe shughuli juu yake yoyote; akae faragha mwaka mmoja nyumbani mwake, apate mfurahisha mkewe aliyemtwaa.