Ikawa, mfalme wa Israeli alipousoma waraka, alirarua mavazi yake, akasema, Je! Mimi ni Mungu, niue na kuhuisha, hata mtu huyu akanipelekea mtu nimponye ukoma wake? Fahamuni, basi, nakusihini, mwone ya kuwa mtu huyu anataka kugombana nami.
Luka 11:54 - Swahili Revised Union Version wakimvizia, ili wapate neno litokalo kinywani mwake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ili wapate kumnasa kwa maneno yake. Biblia Habari Njema - BHND ili wapate kumnasa kwa maneno yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ili wapate kumnasa kwa maneno yake. Neno: Bibilia Takatifu wakivizia kumkamata kwa kitu atakachosema ili wamshtaki. Neno: Maandiko Matakatifu wakivizia kumkamata kwa kitu atakachosema ili wamshtaki. BIBLIA KISWAHILI wakimvizia, ili wapate neno litokalo kinywani mwake. |
Ikawa, mfalme wa Israeli alipousoma waraka, alirarua mavazi yake, akasema, Je! Mimi ni Mungu, niue na kuhuisha, hata mtu huyu akanipelekea mtu nimponye ukoma wake? Fahamuni, basi, nakusihini, mwone ya kuwa mtu huyu anataka kugombana nami.
Alipotoka humo, Waandishi na Mafarisayo walianza kumsonga vibaya, na kumchokoza kwa maswali mengi,
Wakamviziavizia, wakatuma wapelelezi waliojifanya kuwa watu wa haki, ili wamnase katika maneno yake, wapate kumtia katika enzi na mamlaka ya mtawala.
Wala hawakuweza kumshitaki kwa maneno yake mbele ya watu; wakastaajabia majibu yake, wakanyamaza.
Basi wewe usikubali; kwa maana watu zaidi ya arubaini wanamwotea, wamejifunga kwa kiapo wasile wala wasinywe hadi watakapomwua; nao sasa wako tayari, wakisubiri kusikia utasemaje.