Na makutano walipokuwa wakimkusanyikia, alianza kusema, Kizazi hiki ni kizazi kibaya; kinatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya Yona.
Luka 11:16 - Swahili Revised Union Version Wengine walimjaribu, wakimtaka afanye ishara itokayo mbinguni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni. Biblia Habari Njema - BHND Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni. Neno: Bibilia Takatifu Wengine ili kumjaribu wakataka awaoneshe ishara kutoka mbinguni. Neno: Maandiko Matakatifu Wengine ili kumjaribu wakataka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. BIBLIA KISWAHILI Wengine walimjaribu, wakimtaka afanye ishara itokayo mbinguni. |
Na makutano walipokuwa wakimkusanyikia, alianza kusema, Kizazi hiki ni kizazi kibaya; kinatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya Yona.
Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika ardhi.