Luka 11:15 - Swahili Revised Union Version15 Wengine wao wakasema, Atoa pepo kwa Beelzebuli, mkuu wa pepo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Lakini baadhi ya watu hao wakasema, “Anawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Lakini baadhi ya watu hao wakasema, “Anawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Lakini baadhi ya watu hao wakasema, “Anawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Lakini wengine wakasema, “Anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli, yule mkuu wa pepo wachafu wote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Lakini wengine wakasema, “Anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli, yule mkuu wa pepo wachafu wote.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Wengine wao wakasema, Atoa pepo kwa Beelzebuli, mkuu wa pepo. Tazama sura |