Luka 11:16 - Swahili Revised Union Version16 Wengine walimjaribu, wakimtaka afanye ishara itokayo mbinguni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Wengine ili kumjaribu wakataka awaoneshe ishara kutoka mbinguni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Wengine ili kumjaribu wakataka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Wengine walimjaribu, wakimtaka afanye ishara itokayo mbinguni. Tazama sura |