Mimi nayaumba matunda ya midomo; Amani, amani, kwake yeye aliye mbali, na kwake yeye aliye karibu; asema BWANA; nami nitamponya.
Luka 10:5 - Swahili Revised Union Version Na nyumba yoyote mtakayoingia, semeni kwanza, Amani iwemo nyumbani humu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza wasalimuni hivi: ‘Amani iwe katika nyumba hii!’ Biblia Habari Njema - BHND Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza wasalimuni hivi: ‘Amani iwe katika nyumba hii!’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza wasalimuni hivi: ‘Amani iwe katika nyumba hii!’ Neno: Bibilia Takatifu “Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza semeni, ‘Amani iwe kwenu.’ Neno: Maandiko Matakatifu “Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza semeni, ‘Amani iwe kwenu.’ BIBLIA KISWAHILI Na nyumba yoyote mtakayoingia, semeni kwanza, Amani iwemo nyumbani humu; |
Mimi nayaumba matunda ya midomo; Amani, amani, kwake yeye aliye mbali, na kwake yeye aliye karibu; asema BWANA; nami nitamponya.
na akiwamo mwana wa amani, amani yenu itamkalia; lakini kama hamna, amani yenu itarudi kwenu.
Yesu akamwambia, Leo wokovu umefika nyumbani humu, kwa sababu huyu naye ni mwana wa Abrahamu.
Neno lile alilowapelekea wana wa Israeli akihubiri Habari Njema ya amani kwa Yesu Kristo (ndiye Bwana wa wote),
na hivi ndivyo mtakavyomwambia huyu aishiye salama, Amani na iwe kwako, na amani nyumbani mwako, na amani kwao wote ulio nao.