Luka 1:56 - Swahili Revised Union Version Mariamu akakaa naye kadiri ya miezi mitatu, kisha akarudi kwenda nyumbani kwake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake. Biblia Habari Njema - BHND Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake. Neno: Bibilia Takatifu Mariamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani mwake. Neno: Maandiko Matakatifu Mariamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake. BIBLIA KISWAHILI Mariamu akakaa naye kadiri ya miezi mitatu, kisha akarudi kwenda nyumbani kwake. |